Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Whozu: Nikifa msisahau kuniongelea kama nilipendwa sana

WEMA MWAKA MMOJA NA WHOZU Whozu: Nikifa msisahau kuniongelea kama nilipendwa sana

Mon, 28 Aug 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwanamuziki wa BongoFleva Whozu ameweka hisia zake hadharani kwamba anapendwa sana na mpenzi wake #WemaSepetu amesema endapo akifari katika wosia wake watu wasisahau kumuongelea kama alipendwa sana.

Ameyasema hayo akiwa katika interview na waandishi wa habari ameeleza yupo katika mapenzi mazito sana kwa sababu anapendwa na akafika mbali kama akifariki basi watu wamuongele kama alipendwa sana yawezekana ikaja kuwa sababu ya yeye kufariki juu ya hayo mapenzi.

Ikumbukwe wawili hao hawana muda mrefu sana hiyo ni baada ya msanii huyo kuachana na mzazi mwenziye na kuzama kwa penzi la Tanzanian Sweetheart.

Haya tuambie wewe umewahi kupendwa kama Whozu ?

Chanzo: www.tanzaniaweb.live