Miss Universe ni miongoni mwa Mashindano Manne Makubwa ya Urembo katika Level ya Kimataifa, Mengine ni Miss World, Miss International na Miss Earth.
Shindano hili linaratibiwa na Mashirika kutoka Marekani pamoja na Thailand (JKN GLOBAL GROUP)
Hapo awali ili ushiriki Shindano hili ilikuwa lazima uwe na umri chini ya miaka 28, lakoini sasa hivi kuna mabadiliko.
Mwanamke yoyote mwenye umri wa zaidi ya Miaka 18 ataruhusiwa Kushiriki Shindano hilo. Mabadiliko haya yataanza shindano la Mwaka 2024.
“Starting then, every adult woman in the world will be eligible to compete to be Miss Universe,” amesema Miss Universe (Insta Story).