Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Wenye ualibino walaani alichokifanya Tunda Man

MAALIBINOOOO Wenye ualibino walaani alichokifanya Tunda Man

Fri, 12 Aug 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Tamasha la Simba Day limeendelea kuingia doa baada ya Chama cha watu wenye ualbino Tanzania (TAS) pamoja na Kituo cha Sheria na Haki za binadamu (LHRC) kujitokeza kulaani matumizi ya jeneza, msalaba na mtu mwenye ualbino aliyekuw amefungwa kamba mikononi mithili ya msukule, kitendo ambacho kinadaiwa kutweza utu wa mtu mwenye ualbino.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live