Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Wengine wanaimba ila mimi ndio bora-Dulla Makabila

DULLA MAKABILI TUZO Wengine wanaimba ila mimi ndio bora-Dulla Makabila

Mon, 1 May 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kutoka kwenye ukurasa wa Instagram wa Staa wa muziki wa Singeli Dulla Makabila ameshare ujumbe akijiita yeye ndio Msanii Bora wa Singeli baada ya kufanikiwa kunyakuwa Tuzo hiyo TMA.

"Usiku Wa Tarehe 29 Nilifanikiwa kutwaa Tuzo Mbili Nazo Ni Msanii Bora Wa Singeli Pamoja Na Wimbo Bora Wa Singeli Ambao Ni PITA HUKU Asanteni Sana Mashabiki Zangu Mlionipigia Kura Na Kuniwezesha Kuwa Mshindi.

"WASANII WENGI WANAIMBA SINGELI ILA MIMI NDIO MSANII BORA WAENDELEE TU KUIMBA WASIACHE ILA MIMI NDIO BORA."

Chanzo: www.tanzaniaweb.live