Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Wema olewa hata uke wenza, usichague mume - Asha Baraka

Wema Sepetu 234 Wema Sepetu.

Thu, 27 Jul 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

C.E.O wa Band ya Twanga Pepeta, Asha Baraka amemtaka Mlimbwende wa muda wote Wema Sepetu aolewe mapema kabla umri haujaenda zaidi kwani kunakoelekea atakosa mume kabisa.

Asha amemchamba Wema live walipokuwa wanapata chakula pamoja, ambapo amemshauri hata akipata mwanaume wa kumuoa awe mke wa pili (Uke wenza) akubali tu kwasababu umri umeshaenda akichelewa atakuta mwana si wake.

Asha amesema anataka aione harusi ya Wema kabla Mungu hajamchukua.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live