Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Wema na Whozu watimiza mwaka kwenye mahusiano

WEMA MWAKA MMOJA NA WHOZU Wema na Whozu watimiza mwaka kwenye mahusiano

Mon, 8 May 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Ni mwaka mmoja sasa toka mastaa Wema Sepetu na Whozu waingie penzini, kupitia ukurasa wa Instagram, Wema ameposti ujumbe huo.

"Tarehe 08 Mei 2022, nilitangaza Upendo wangu kwako... Mwaka 1 sasa, Lengo ni Milele... Muda gani...? Kwa muda wote nitakaoishi... Happy Anniversary Amore...❤️ NAKUPENDA ❤️ @whozu_

Wema ameshakuwa kwenye mahusiano na wanaume wengine 'lukuki' akiwemo staa wa Bongo Fleva Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live