Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Wema hawezi kutembea na Whozu-Mwijaku

Whozu Na Wema Wema hawezi kutembea na Whozu-Mwijaku

Thu, 8 Sep 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wema Sepetu na Whozu; ni kapo nyingine ya mastaa wa Bongo ambayo inakosolewa vilivyo kuwa ni mbingu na ardhi.

Kumekuwa na tetesi zikishibisha na video za mahaba mazito kati ya Wema na Whozu kuwa ni wapenzi; penzi ambalo linakataliwa na wengi.

Mwijaku ni mtangazaji anayejiita DC wa Insta ambaye anasema, kamwe Wema ambaye ni mhamasishaji wa chanzo ya UVIKO-19 hawezi kutoka kimapenzi na Whozu.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live