Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Wema avuja ukimya video yake ya kimahaba na Whozu

Wema Avunja Ukimya Wema avuja ukimya video yake ya kimahaba na Whozu

Tue, 30 Aug 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Saa chache baada ya video yake akiwa kimahaba na Rapa Whozu, msanii wa sinema za Kibongo Wema Sepetu, ameibuka na kuzungumzia video hiyo.

Kipande hicho cha video kinachomuonesha Wema akijibebisha kwa Whozu kimevuja mapema leo hii Agosti 30, 2022 ambapo miongoni mwa watu wa kwanza kukisambaza alikuwa ni mtangazaji mbeya maarufu, Maimartha Jesse.

Baada ya Maimartha kuposti video hiyo na maoni kuwa mengi, Wema aliibuka kwenye uwanja wa komenti na kuandika hivi:

“Hivi kwanini lakini mnapenda kuni attack na rafiki zangu... So watu wakiwa washkaji sana ni wapenzi...? Msiwe hivyo bwana....” aliandikia Wema na kusindikiza na emoji za kuziba sura kama vile anaona aibu.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live