Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Wema atangaza kuacha pombe

WEMA SEPETU AACHA POMBE Wema atangaza kuacha pombe

Wed, 3 May 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Muigizaji wa sinema za Kibongo, Wema Sepetu ametangaza rasmi kuwa, ameacha kabisa kunywa pombe.

Mrembo huyo ametangaza hilo kupitia kipande cha video kinachomuonesha akiwa na mtamgazaji Mwijaku.

Wema amesema ana miezi 5 sasa Hajanywa Pombe, na Mwijaku amesisitiza kuwa mrembo huyo kwa sasa ameacha kabisa pombe.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live