Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Wema anapenda sana kupanic - Whozu

Whozu Wema (1) Wema anapenda sana kupanic - Whozu

Fri, 23 Jun 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Don Dingoo Whozu ametusanua kuwa moja ya shida ya mpenzi wake Wema Sepetu (Chimama) ni kupenda kukasirika juu ya vitu vidogo kama ndio mahusiano yake ya kwanza.

"Jamani huyu bi mkubwa @wemasepetu Shida ni yake moja tu, Anapenda sana kupanic vitu vidogo Utasema haya ndo mahusiano yake ya kwanza ku date, haya umeshinda mama nifanye unachoweza basi".

Whozu amefunguka hayo baada ya kumtumia Wema Sepetu kama 'Video Queen' kwenye ngoma yake mpya ya Umeyatimba.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live