Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Wema ana moyo wa Kim Kardashian

WEMA MSKS KIM Wema ana moyo wa Kim Kardashian

Wed, 27 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Huenda umeshawahi kusikia ushabiki mwingi na huenda hata wewe ni shabiki wa staa fulani nchini kwako lakini ushabiki wa Wema Sepetu kwa Kim umezidi.

Staa wa filamu nchini na lie kuwa miss Tanzania mwaka 2006 Wema Abraham Sepetu Wema Sepetu anampenda Kimkardashian kindaki ndaki.

Wema sio tu ni shabiki wa Kim bali inasemekana kuwa hata muonekano wako alibadilisha ili kufanana na Kim,yaani awe na pigo za Kimkardashian na hakika hii haipingiki kuwa ameweza.

Wengine wanafika mbali wanadai kuwa hata lifestyle ya Wema na anavyoongea ni Kimkardashian mtupu.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live