Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Wema amvaa Bob Junior kisa 'kumposa'

Bobjuniortz Wema Wema na Bob Junior

Tue, 10 May 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Tanzania Sweetheart, Wema Sepetu ameonyesha kuchukizwa na kauli ya msanii wa Bongo Fleva, Bob Junior baada ya msanii huyo hufanyiwa mahojiano na kusema Wema ni mwanamke wake na anataka kumtolea posa.

"Ni mwanamke wangu na mke wangu kabisa msitake kujua vitu vingi, mapenzi yetu si vyema kuyazungumzia sana ila wafaham ni mwanamke wangu pengine nitamposa," alisema Bob Junior.

Wawili hao wame-make headlines mitandaoni baada ya Bob Junior kupost video akiwa anam-kiss Wema Sepetu.

Kwa upande wake Wema Sepetu baada kuyaona mahojiano hayo aliyofanya Junior na chombo kimoja cha habari nchini amesema;

"Kwanza niko very disappointed...!!! Nadhani my Charm & Good heart ndo inayoniponza muda mwingi ila ndo kubadilika siwezi maana ndo nilivyoumbwa na Mungu.

"Niko disappointed na BobJunior saaaaanaaa cause maisha yangu always nimekuwa nikimchukulia as a Friend na nimekuwa nikimkubali kama mwana. Sijamuona almost miaka 6 or 7 or even more. Nimekuja kuonana nae juzi & kama kawaida nikawa Excited saaaaaaaanaaaa and nikamchangamkia mno.

"Na hivyo ndo nilivyo mimi kwa watu woooooote wanaonizunguka na SIWEZI BADILIKA. Sasa sielewi ndugu yangu ukala nn au umeona ni Sawa kwenda kuongea kuwa mi ni mwanamke wako. Lini??? Au ndo Kutafuta kuongelewa.

Yaani ungejua nisivyopenda kuwa kwenye midomo ya watu aisee.... Daaaah.... Nimekuwa sad saaaaanaaa maana hata sielewi namwambiaje Mwanaume wangu akanielewa.... Kiukweli umenikosea sana.

"Basi kama ni Kick ulikuwa unataka, Si ungenihusisha from the beginning. Tukashauriana. Haiya Posa hio ya wapi. Au ulikuwa umelewa?? Yaani kuna vitu vinakera sana kwakweli.

Back to you Soudy, Umeyataka baada ya ku make a Big deal after ile post. Ndugu, mimi kuwa msweet kwa watu vile sio mara ya kwanza. Hata wewe nikikuona nikiwa nakukubali from the heart lazima nikukumbatie na kukukiss. Sio kitu cha ajabu. Ndo nilivyo.

Sasa mpka kufikia kufanyiana Interview wenyewe mjipe Hype na Kick ndo sijaelewa. Najaribu kuwawazia siwapatii jibu... Posa ipi kwanza. Au wewe ndo mshenga. Kutaka kuharibiana tu mahusiano yetu tulionayo. Sijawapenda hata kidogo.!!! Mna mambo ya Ajabu sana."


Kwa upande wake Bob Junior amemuomba radhi Wema kwa maneno haya; "Kiufupi we ni rafikiangu wa muda mrefu acha kukuza vitu visivyo vya kweli me nakujibu ivo coz huwa unapenda kuforce vitu visivyo vya kweli.

"Soo pls kwa yoyote yule msiwaze vyengine kabisa we ni rafiki atabaki kama dada sitatka interview aina yoyote kwanzia sasa mtayoniuliza chochote kuhusu @wemasepetu ni dada yangu pls @soudybrown acha izo drama."

Chanzo: www.tanzaniaweb.live