Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Wema, Zari wanavyompa faida Diamond

Wema Sepetu And Zari Hassan Diamond Wema, Zari wanavyompa faida Diamond

Thu, 15 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Pamoja na yote Wema Sepetu naliondoka kwenye mbavu za Diamond Platnumz, huku akimuachia msela faida nyingi zaidi, alimpa umaarufu mkubwa.

Kama hiyo haitoshi akampa na Kiingereza juu, msela akaanza kuwasiliana kimataifa. Hili la Kiingereza Mondi mwenyewe alishakiri mara kadhaa. Yes! Wema anahusika.

Lakini pia Zari, hajamuacha msela bure, picha linaanza kampa Mondi heshima ya ubaba, kwa kumuachia uzazi wa watoto wake wawili na kuwatuliza wale wote waliosema mchizi mgumba.

Zari ndiyo mwanamke wa kwanza ambaye aliamini katika maisha ndani ya Mondi. Hizo pisi zingine zilimzingua tu msela.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live