Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Wema: Shem wenu anaupenda mwili wangu

Wema Ip Wema Sepetu

Thu, 19 May 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wema Isaac Sepetu au Last Born wa Taifa; ni supastaa wa filamu nchini Tanzania ambaye amemtolea uvivu mmoja wa mashabiki wake ambaye amemwambia kuwa amekonda sana hivi anakula kweli milo mitatu?

Hapo ndipo Wema alipomjibu kwa kumwambia aache kumfuatilia kwani yeye anaupenda mwili wake na hata mpenzi wake anaupenda pia.

Wema amemjibu; “Ningekuwa tukunyema pia mngeniambia nipunguze milo....Ebu niacheni na mpambane na mwili wangu huu...Mimi binafsi naupenda...Tukiachana na mimi binafsi, shem kama shem ndo haelewi kabisaaaaaa mambo ya mabonge....wewe ni nani kuniamulia...???

Tulia na wewe unywe ukwaju na apple cider upunguze kilo kama rahisi...Tusiharibiane siku pulizzzzz....”

Chanzo: www.tanzaniaweb.live