Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Wema Sepetu akata mzizi wa fitina kuhusu lipstick zake

7821 29404214 183524859040902 6840988101926453248 N TZW

Fri, 11 May 2018 Chanzo: bongo5.com

Mrembo Wema Sepetu amekanushaa taarifa zilidodai kuwa bidhaa zake mpya za lipstick zinafanana na zile za mwanzo.



Wema amesema hilo halina ukweli wowote zaidi ya watu walioamua kuzusha hilo.

“Kiss by Wema sio Wema Sepetu Liquid Matte, Kiss by Wema ilikuwa na mafuta, hii ya pili ni kavu, hazina mafuta and zipo kwenye package tofauti na zina ubora zaidi kuliko zile za mwanzo,” Wema ameiambia Bongo5.

Soma Pia; Martin Kadinda ajibu kuhusu lipstick za Wema Sepetu kupigwa ‘stop’

September 2017 Meneja wa Wema Sepetu, Happy Shame alikanusha taarifa zilizodai kuwa lipstick za ‘Kiss by Wema’ zilipigwa maarufu na Mamlaka ya Chakula na Dawa Nchini (TFDA) kwa kueleza kuwa bidhaa hizo hazikuwepo tena sokoni kwa wakati huo.

Loading...
Chanzo: bongo5.com