Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Wema Sepetu aipigia saluti Jezi ya Yanga

Wema X Jezi Yanga Wema Sepetu aipigia saluti Jezi ya Yanga

Wed, 22 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Muigizaji Wema Sepetu amevutiwa na 'jezi' za klabu ya Yanga zilizozinduliwa mchana wa leo ambazo zitavaliwa katika michuano ya ligi ya mabingwa Africa (CAFCL).

Wema kupitia ukurasa wake wa Instagram ametoa pongezi kwa uongozi wa Yanga na kwa mtengenezaji wa 'jezi' hizo Sheria Ngowi kwa kutumia umaridadi mkubwa katika kuzitengeneza.

kwa upande wako umekubali uzi upi katika 'jezi' hizo ?

Chanzo: www.tanzaniaweb.live