Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Wema: Nikimkosa Whozu nitaumia sana!

Wema Whozu Nmb.jpeg Wema na Whozu

Sat, 8 Oct 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wema Isaac Sepetu au Last Born wa Taifa; ni supastaa wa Bongo Movies ambaye anakiri kuzama kwenye dimbwi la mahaba na msanii Whozu kiasi kwamba akimkosa ataumia mno.

Wema anasema kuwa, Whozu anachopaswa kujua ni kwamba amempa furaha aliyoikosa kwa muda mrefu hivyo anamuombea kwa Mungu ampe Baraka tele.

“Nataka tu Whzou ajue anamaanisha ulimwengu kwangu. Na nitaendelea kumuombea kwa Mungu kila siku ya maisha yangu. Baraka zote zije kwake kwa sababu anastahili kila jema katika maisha yake,” anasema Wema na kuongeza;

“Whozu amenifanya msichana nijihisi nimebarikiwwa kwa mara nyingine maishani. Kupendwa raha sana.”

Chanzo: www.tanzaniaweb.live