Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Wellu Sengo afiwa na mama yake, Steve Nyerere anena haya!

Wellu Sengo Steve Wellu Sengo afiwa na mama yake, Steve Nyerere anena haya!

Tue, 28 Mar 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwigizaji wa Bongo Movie Wellu Sengo a.k.a Matilda amefiwa na Mama yake kwa mujibu wa taariafa aliyotoa Baba wa Mtoto wake Steve Nyerere ameandika haya akimpa pole

"Nichukue nafasi hii kukupa pole sana sana wewe pamoja na familia kwa ujumla kwa kuondokewa na mama kipenzi, pole sana Mama Vallensia, pole sana Wellu Sengo, Mungu akutangulie hasa kwenye kipindi hiki kigumu unachopitia. Tambua tupo pamoja sana.

Pole Mama

Pole Wellu

Pole mama Vallensia

Kazi ya Mungu haina makosa Mama

Tupo pamoja sana," ameandika Steve Nyerere.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live