Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Wednesday season 2 yaanza kurekodiwa

Wednesday Season 2.jpeg Wednesday season 2 yaanza kurekodiwa

Wed, 8 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Filamu inayosubiriwa kwa hamu kubwa na watu wengi Ulimwenguni "Wednesday" imetangazwa kuanza uzalishaji wake kwa Season 2 huko nchini Ireland.

Netflix Leo jumanne imetangaza majina kadhaa mapya ya waigizaji watakao jiunga na wengine katika mfululizo huu, Waigizaji maarufu kama Steve Buscemi (The Big Lebowski, Boardwalk Empire), Billie Piper (Scoop, I Hate Suzie) na wengine wengi wamo ndani.

Wednesday ni FIlamu ya kutisha (Horror series) inayofanya vizuri tangu kuachiliwa kwake mwezi Novemba 2022, ikiwa na mauzo makubwa kote Ulimwenguni ikishindanishwa na FIlamu kama "Stranger things".

Je, Uliikubali kwa asilimia ngapi hii FIlamu?

Chanzo: www.tanzaniaweb.live