Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Waziri Sonyo afariki

2jiachie 152686713 777910373123468 479439276678890058 N 538x400 Waziri Sonyo afariki

Thu, 25 Feb 2021 Chanzo: millardayo.com

Mwimbaji nyota wa muziki wa Dansi nchini, Waziri Sonyo, amefariki dunia Jana Feb 23, 2021 saa 3 usiku muda mfupi baada ya kutoka kuangalia mpira kati ya Simba na Al Ahly Uwanja wa Taifa.

Sonyo aliyetamba zaidi na bendi za Chuchu Sound, TOT, African Revolution – Tam Tam na Victoria Sound amefia Kibaha ambako ndipo alipokuwa akiishi.

Mazishi ya Sonyo aliyewahi pia kuitumikia bendi ya Double M Sound, yanatarajiwa kufanyika Kibaha leo Jumatano.

Chanzo: millardayo.com