Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Watumiaji wawili wa TikTok wahukumiwa kuchapwa bakora

Tiktok Asd.jpeg Watumiaji wawili wa TikTok wahukumiwa kuchapwa bakora

Tue, 8 Nov 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Watumiaji wawili wa mtandao wa TikTok wamehukumiwa kuchapwa fimbo 20 kila mmoja, faini TZS 54,000, kuomba radhi na kusafisha viunga vya mahakama kwa siku 30 kwa kumdhihaki Gavana wa Kano nchini Nigeria.

Watumiaji wawili wa mtandao wa TikTok wamehukumiwa kuchapwa fimbo 20 kila mmoja, faini TZS 54,000, kuomba radhi na kusafisha viunga vya mahakama kwa siku 30 kwa kumdhihaki Gavana wa Kano nchini Nigeria. Kupitia video wiliyochapisha wamemtuhumu gavana kwa rushwa, kupora ardhi na kusinzia kazini.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live