Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Watu watatu wauawa Lil Baby akishoot Video

De449fef Ef3b 41a3 A76e Be7dd698396a 1920x1080 Watu watatu wauawa Lil Baby akishoot Video

Wed, 15 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Vijana watatu wa kiume wanaokadiriwa kuwa na umri wa miaka 20s wanadaiwa kuuawa kwa shambulizi la risasi Dixie Hills Atlanta, Marekani wakati Mwanamuziki Lil Baby aki-shoot video yake.

Kwa mujibu wa vyombo mbalimbali vya Marekani Lil Baby hajapata madhara yoyote kutokana na shambulizi hilo.

Mpaka sasa vyombo vya usalama Atlanta bado havijatoa ufafanuzi zaidi kuhusu tukio hili.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live