Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Watanzania tumerogwa, kufa masikini ni ufala – Mch. Anthony Lusekelo ‘Mzee wa Upako’

8449 Hqdefault TZW

Wed, 30 May 2018 Chanzo: bongo5.com

height="400" Mzee wa Upako amesema Tanzania tuna mbuga za wanyama, madini ya Tanzanite, ardhi yenye rutuba hivyo haiwezekani mtu kufa masikini.

Kufa masikini sio ujinga tuu ni ufala sasa ufe masikini si fala tuu, halafu ukute ulipata nafasi na fursa mbali mbali huko,“amesema Mzee wa Upako kwenye kipindi cha  Maisha Mseto cha Times FM na kusisitiza.

Tuna mbuga za wanyama , tuna Tanzanite, tuna almasi, tuna ardhi bora, Tanzania ni nchi ya pili katika Afrika kuwa na mifugoo mingi, halafu bado sisi ni masikini? mimi akili haikubali.“amesema Mzee wa Upako na kutoa mfano.

Kuna nchi moja Singapore wanaendesha nchi yako kwa bandari tu lakini matajiri wanaikimbilia Japan, kwa hiyo mimi siamini Katika umasikini, sisi sio wazima tumerogwa.” amemaliza Mzee wa Upako.

_______________________________________________________________________________________________

Kwa sasa unaweza kupata habari zetu zote sehemu moja kwa kupitia App yetu ya Bongo5. Pakua sasa kupitia Play Store kwa kubonyeza link hii – https://bit.ly/2J2Argw

Loading...
Chanzo: bongo5.com