Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Wastara: Niliwahi kunywa sumu nijiue

Wastara Fu Wastara: Niliwahi kunywa sumu nijiue

Mon, 19 Sep 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Muigizaji wa sinema za Kibongo, Wastara Juma, amesimulia kuwa kuna wakati aliwahi kunywa sumu ili kujiua.

Wastara alisema kwenye maisha yake amepitia nyakati hizo mara mbili kutokana na maneno ya watu.

“Kuna wakati nilitaka kufanya hivyo wakati naumwa halafu watu wanazusha maneno ya uongo, lakini pia huko nyuma niliwahi kunywa vidonge vya dawa vingi ili nife.

“Nilikuwa na miaka 14 nikiwa mjamzito na mtu ambaye simpendi, niliozeshwa kilazima,” alisema Wastara.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live