Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Washiriki wa Big Brother Naija wanaswa na kamera ‘wakivunja amri ya sita’ bafuni (18+)

3919 Capture 64 TZW

Mon, 5 Mar 2018 Chanzo: bongo5.com

Watu wanaofuatilia shindano la Big Brother Naija watakuwa wanaelewa kuwa shindano hilo kwa sasa mambo ni Moto Moto kwani awali lilianza kuboa na baadhi ya watu walianza kulidharau kwa kulinganisha na lile lililozoeleka la nchini Afrika Kusini.

Teddy A na Bam Bam

Jana usiku wa kuamkia leo washiriki wawili Teddy A na mpenzi wake Bam Bam ambao wanapewa nafasi kubwa kuibuka washindi kwenye shindano hilo, waliibua mijadala mitandaoni baada ya kunaswa na kamera wakifanya mapenzi bafuni.

Chanzo: bongo5.com