Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Washiriki wa Big Brother Naija Wafanya pati ya nguvu

INN 7040 631x420 1 Washiriki wa Big Brother Naija Wafanya pati ya nguvu

Mon, 1 Aug 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mambo yanazidi kuonga katika Msimu wa saba wa shindano la Big Brother Nigeria (BBNaija Level Up) ambapo hapo jana, ilifanyika pati ya nguvu ya Saturday Night Party iliyowakutanisha washiriki wote 12 waliopo mjengoni.

Mashindano ya Big Brother Naija yanaoneshwa moja kwa moja na DSTV Chaneli namba 198 na 199 ambapo mashabiki kutoka kona zote za Bara la Afrika, watakuwa wakishuhudia kila kinachoendelea kwenye mjengo huo.

Mastaa 12 walioingia kwenye shindano hilo ni pamoja na Amaka, Beauty, Bryann na Christy O. Wengine ni Cyph, Groovy, Daniella, Ilebaye, Kess, Khalid, Pharmsavi na Phyna ambao wote ni mastaa, kila mmoja akiwa na ‘swaga’ za kipekee.

Unaweza pia kufuatilia kila kinachoendela mjengoni kwa kupitia website na mitandao ya kijamii ya Instagram, Facebook na Twitter.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live