Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Wasanii wanaowania tuzo ya albam bora ya mwaka

Ef5f6721 Ae52 45de Be0b 13f93b21e626 Wasanii wanaowania tuzo ya albam bora ya mwaka

Sun, 20 Mar 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Baraza la Sanaa la Taifa @basata.tanzania Limetangaza Wasanii wanaowania Tuzo za Muziki Tanzania (TMA)

Hii Ndio List Ya Wasanii Wanaowania Katika Kipengele Cha Album Bora Ya Mwaka.

1: Only One King By #ALIKIBA 2: High School By #HARMONIZE 3: Ona By #MARCOCHALI 4: Air Weusi By #WEUSI 5: Live At Sauti Za Busara By #WAKAZI

Nani unampa kura yako hapa?

Chanzo: www.tanzaniaweb.live