Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Wasanii wanaotumia dawa za kulevya Bongo waonywa

Wasanii Wanaotumia Dawa Za Kulevya Bongo Waonywa Wasanii wanaotumia dawa za kulevya Bongo waonywa

Wed, 15 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wasanii wanaotumia dawa za kulevya watakiwa kujirekebisha, kabla hatua juu yao hazijachukuliwa.

Hayo yamesemwa jana Novemba 14, na Aretas Lymo ambaye ni Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya Kupambana na Kudhibiti dawa za Kulevya, wakati akizungumza na wanahabari na wahariri.

Aretas Lymo amesema wapo wasanii wanaotumia Cocaine, Heroine na Bangi, na wapo wanaohamasisha matumizi ya dawa hizo hivyo wakithibitishwa sheria itafata mkondo wake.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live