Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Wasanii wachangishana kumzika Masogange, waanika ratiba ya mazishi (Video)

Video Archive
Sat, 21 Apr 2018 Chanzo: bongo5.com

Msanii wa muziki na filamu pamoja na wadau mbalimbali wamechangishana pesa kwaajili ya kumzika video vixen, Agnes Masogange aliyefariki dunia Ijumaa hii mchana akiwa anapatiwa matibabu katika hospitali ya Mama Ngoma Mwenge Dar es salaam.

Chanzo: bongo5.com