Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Wasanii wa Mizengwe wanaingiza milioni 30 kila mwezi (Video)

Sun, 28 Jan 2018 Chanzo: bongo5.com

Wasanii wa filamu kutoka Mizengwe kupitia filamu zako za ‘Kashi Kashi’ ametoa siri ya kuamua kuuza filamu zao wenyewe mitaani na kuachana na kupeleka kwa wahindi ambao wamedai wanawanyonya.



Akiongea na Bongo5 mmoja kati wa wasanii hao, Maringo 7, ambaye alibambwa mtaani na filamu hizo, alidai wamepata mafanikio makubwa sana kwa kuuza filamu zao wenyewe mitaani.

“Kwa siku sisi tunauza zaidi ya kopi mia mbili kwa elfu 5000, ni kitu kikubwa sana kwetu tofauti na kupelekwa kwa wahindi,” alisema Maringo 7.

Chanzo: bongo5.com