Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Wasanii wa Hip Hop walioimba na wa Taarabu

Fid Q Wasanii Data Wasanii wa Hip Hop walioimba na wa Taarabu

Mon, 1 Mar 2021 Chanzo: mwanaspoti.co.tz

By Kelvin KagamboMore by this Author KWA mtazamo wa watu wengi muziki wa Taarabu ni aina ya muziki inayopendwa zaidi na wanawake. Dhana hii imekuwepo muda mrefu licha ya kwamba maeneo ya Pwani, Taarabu ni aina kuu ya muziki tangu enzi na inasikilizwa na jinsi zote.

Kwa upande mwingine, mtazamo wa watu wengi kuhusu muziki wa Hip Hop, ni muziki unaopendwa zaidi na wanaume. Dhana ambayo pia inajengeka kwa sababu idadi kubwa ya wasanii wanaofanya aina hiyo ya muziki ni wanaume.

Mitazamo juu ya aina hizi mbili za muziki imesababisha Taarabu na Hip Hop kuonekana ni aina mbili ya miziki tofauti kabisa kiasi kwa haraka haraka ni kama ladha zake haziwezi kuchanganywa.

Hata hivyo, bila kujali mitazamo hiyo, kuna wasanii wa Hip Hop na Taarab waliamua kuangana na kutengeneza kazi pamoja na kushangaza wapenzi wa muziki nchini.

Chid Benz vs Mzee Yusufu

Chanzo: mwanaspoti.co.tz