Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Wasanii pendwa zaidi kuwahi kutokea duniani

Marley 2pac Michael Jackson Wasanii pendwa zaidi kuwahi kutokea duniani

Fri, 23 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Inasemekana Bob Marley, Michael Jackson, Tupac Shakur na BIG Notorious ndio wasanii pendwa zaidi kuwahi kutokea duniani licha ya kufariki dunia lakini bado wanazungumzwa sana midomoni mwa watu.

Kupendwa kwao na ukubwa wao wanatajwa na vyanzo mbalimbali duniani, documentary, vitabu, wasanii wenzao na hata mashabiki kwa kile walichokifanya kwenye muziki.

Moja ya sifa zao kubwa ni nguvu kubwa ya ushawishi, ku-inspire, legacy waliyoiacha na mauzo makubwa ya muziki wao.

Hawapo duniani lakini nyimbo zao/Album zinaweka rekodi kwenye Platform mbalimbali,zinaimbwa, zinasemwa, kutumiwa na watu. Pia Muziki wao uligusa sehemu nyingi za maisha ya watu kuanzia kuburudisha, kueleimisha, kukosoa.

Hii ndio miaka yao waliyozaliwa mpaka kufariki kwao Bob Marley 1945 - 1981, Tupac Shakur 1971-1996, BIG Notorious 1972 -1997 na Michael Jackson 1958 - 2009.

Unawakumbuka kwa nyimbo zao zipi?

Chanzo: www.tanzaniaweb.live