Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Wasanii kupiga shoo nje bure

Diamond Kiba Harmo Zuchu.jpeg Wasanii kupiga shoo nje bure

Thu, 15 Jun 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Katibu Mtendaji wa Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) Dkt. Kedmon Mapana amezungumza na Waandishi wa Habari na kutangaza kuanza kuzipitia upya kanuni za Baraza ilo ili kuhakikisha kanuni zao ni wezeshi kuendeleza, kukuza na sio kudhibiti.

Katibu Mtendaji wa Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) Dkt. Kedmon Mapana amezungumza na Waandishi wa Habari na kutangaza kuanza kuzipitia upya kanuni za Baraza ilo ili kuhakikisha kanuni zao ni wezeshi kuendeleza, kukuza na sio kudhibiti. Moja ya kanuni iliyopo kwa sasa ni ile ya kila msanii anayepata nafasi ya kufanya show nje ya Tanzania, ni lazima alipie kibali kutoka BASATA kiasi cha shilingi Elfu 50 ambapo BASATA limeweka wazi kuibadili kanuni hiyo kwa kuitoa.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live