Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Wasanii kuanza kulipwa mirahaba yao

112 Wasanii kuanza kulipwa mirahaba yao

Tue, 15 Jun 2021 Chanzo: eatv.tv

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amesema Serikali imeimarisha usimamizi wa hakimiliki za wasanii na kuanzia mwezi Disemba, 2021 wasanii wataanza kulipwa mirahaba yao kutokana na kazi zinazotumiwa kwenye Runinga, Redio na Mitandaoni.

Submitted by Telesphory on Jumanne , 15th Jun , 2021 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan

“Sanaa na utamaduni, sekta hii imekuwa ikikua kwa kasi, miongoni mwa hatua tulizochukua ni kuimarisha usimamizi wa haki miliki za wasanii, nataka kuarifu vijana kuwa kuanzia Disemba mwaka huu wasanii wataanza kulipwa mirabaha yao kutokana na kazi zinazotumiwa kwenye Runinga, Redio na Mitandaoni.” – Rais Samia kwenye mkutano wa vijana Mkoani Mwanza.

Chanzo: eatv.tv