Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Wasanii Wanaowania Tuzo ya Mwanamuziki Bora wa Kike wa Mwaka

InShot 20220320 093040267 Wasanii Wwanaowania Tuzo ya Mwanamuziki Bora wa Kike wa Mwaka

Sun, 20 Mar 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Baada ya miaka mingi ya kukosekana Tuzo za muziki nchini Tanzania Serikali kupitia Baraza la Sanaa Tanzania ilitangaza kuzirejesha Tuzo hizo mwaka huu na kwamba sasa zitaendeshwa na Serikali.

Baada ya miaka mingi ya kukosekana Tuzo za muziki nchini Tanzania Serikali kupitia Baraza la Sanaa Tanzania ilitangaza kuzirejesha Tuzo hizo mwaka huu na kwamba sasa zitaendeshwa na Serikali. BASATA imetangaza list ya Wasanii wanaowania Tuzo hizo ambapo miongoni mwa Vipengele vilivyopo ni hiki cha Mwanamuziki bora wa kike wa mwaka ambapo wanaoshindanishwa ni Frida Amani, Nandy, Joyce Mwaikofu na Christina Shusho.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live