Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Wasanii Nigeria waliteka Kombe la Dunia

Patoranking 696x384 Patoranking

Fri, 4 Nov 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Msanii Patoranking ameongeza idadi ya wasanii kutoka nchini Nigeria wakaotumbuiza kwenye Fainali za Kombe la Dunia linalotarajiwa kutimua vumbi kuanzia Novemba 20 hadi Disemba 18, 2022 huko Qatar.

Msanii Patoranking ameongeza idadi ya wasanii kutoka nchini Nigeria wakaotumbuiza kwenye Fainali za Kombe la Dunia linalotarajiwa kutimua vumbi kuanzia Novemba 20 hadi Disemba 18, 2022 huko Qatar. Msanii huyo ametangazwa na FIFA kuwa atakuwa miongoni wa wasanii watakaotumbuiza kwenye fainali hizo na ataungana wa Nigeria wenzake, Kizz Daniel na Davido.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live