Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Wasanii 15 watajwa kuwasha moto kwenye Sports & Music Festival 2018

8631 Screen Shot 2018 06 04 At 14.51.49.png TZW

Mon, 4 Jun 2018 Chanzo: bongo5.com

Tasnia ya burudani inaendelea kukua kila kukicha kutokana na matamasha mbalimbali ya muziki kuendelea kuzaliwa kila kukicha. Hatua hiyo imekuja baada ya tamasha jipya la muziki liitwalo Sports & Music Festival 2018 kuweka wazi mikakati yao ya kutoa burudani katika mikoa mbalimbali nchini Tanzania.



Tamasha hilo la muziki ambalo nitawakutanisha wasanii wakubwa zaidi 15, litaambana na michezo ya mapikipiki pamoja na magari.

“Sports & Music Festival 2018“ inakuletea bonge moja la show: EID Pili ndani ya “CCM KIRUMBA,” mkoani MWANZA! Kwa kiingilio cha Tsh. 10,000/- kwa wakubwa na 3,000/- kwa watoto! Na 5,000 watoto wakiwa Wawili.

Chanzo: bongo5.com