Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Warithi wa korasi kali wapo

Blue Pic Data Mr. Blue

Sat, 29 Jun 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Msanii wa muziki wa Bongo fleva ambaye alikuwa kwenye kundi la B.O.B Micharazo chini ya Nyandu Tozzy na Mr Blue Byser, Beckatitle amefunguka ukaribu wao wa sasa.

Mbali na hilo Beckatitle ameeleza namna biashara ya muziki ilivyobadilika kwa sasa na namna wasanii wanavyojiongeza kwenye muziki.

Pia ameeleza kuhusu mahusiano kati ya wasanii wakongwe na wasanii wa kizazi kipya na kuwataja Juma Jux & Gnako Warawara na wengine kuwa kwa sasa hao ndio wakali wa kupiga Chorus kali nchini.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live