Lifestyle

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

SIL

Wapenzi wafunga ndoa chooni

Wapenzi Wafunga Ndoa Chooni Wapenzi wafunga ndoa chooni

Thu, 14 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wapenzi kutoka Kentucky nchini Marekani waliotambulika kwa majina Logen Abney na Tiana Ailstock wamebeba vichwa vya habari vingi nchini humo baada ya kufunga ndoa chooni.

Ndoa hiyo inadaiwa kufanyika katika choo cha duka la HOP Shops, sehemu ambayo Tiana anafanyia kazi, alipendekeza wazo hilo kwa mchumba wake Logen ambaye mwanzoni alisita lakini baadaye alimuunga mkono mpenzi wake huyo.

Wawili hao walitengeneza choo hicho kwa kupamba Maputo, taa za club pamoja na muziki.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live