Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Wanigeria wameikamata dunia, Burna Boy, Rema, Tems ni habari nyingine

Burna Boy, Rema Na Tems.jpeg Burna Boy, Rema na Tems

Thu, 16 Feb 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Februari 19, huko Salt Lake City, Utah nchini Marekani kutakuwa na tukio kubwa la mpira wa kikapu ambalo linajulikana kama NBA All-Stars’ kutakuwa na mchezo wa NBA ALL STAR.

Katika tukio hilo shirikisho la mpira wa kikapu nchini Marekani limetangaza kuwa Wasanii kutoka Nigeria barani Africa ambao ni Tems, Burna Boy na Rema wametatumbuiza kwenye Half Time Show, Februari 19, 2023 kwa mara ya kwanza kwa uapnde wao.

Hii ni kwa mara ya kwanza kwa wasanii kutoka barani Afrika kutoa burudani kwenye tukio hilo kubwa na la kihistoria nchini Marekani.

Wasanii kutoka Nigeria wamekuwa wakitajwa kwenye matukio makubwa sana duniani. Hii inaleta picha kuwa kwa sasa wasanii kutoka nchini Nigeria wamekuwa wakifuatiliwa sana duniani na muziki wao umeikamata dunia.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live