Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Wanigeria wachafukwa Burna Boy kukosa Tuzo ya Grammy

Burna Boy AFRICA  Act Burna Boy

Mon, 6 Feb 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kufuatia nyota wa muziki toka Nigeria, Burna Boy kukosa tuzo mbili za Grammy alizokuwa akishandania, Wanigeria wameibuka na hili mitandaoni, hasa wakiizungumzia tuzo ya 'Best Global Music Performance'

Kufuatia nyota wa muziki toka Nigeria, Burna Boy kukosa tuzo mbili za Grammy alizokuwa akishandania, Wanigeria wameibuka na hili mitandaoni, hasa wakiizungumzia tuzo ya 'Best Global Music Performance' Kipengele hicho ambacho Burna Boy alikuwa akishindania kupitia wimbo wake "Last, Last" ambapo Wasouth wainyakua tuzo hiyo, Wanigeria wengi wanadai Burna Boy ameonewa, wadai wimbo "Last, Last" ulistahili kushida tuzo hiyo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live