Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

TV

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Wanawake watupwa jela kwa kucheza wimbo wa Rema

Rema Gdf Wanawake watupwa jela kwa kucheza wimbo wa Rema

Fri, 24 Mar 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wanawake watano nchini Iran wamefungwa jela kwa kosa la kucheza wimbo wa msanii wa Nigeria, Rema.

Nchi ya Iran ambayo ni moja ya nchi zilizo na sheria kali za dini ya Kiislam, limewaadhibu wanawake hao kwa kuwatupa gerezani sababu ya kucheza wimbo wa #Calmdown kinyume na sheria na maadili ya dini hiyo na Taifa lao.

Inaelezwa kukamatwa kwao ni kutokana na nguo ambazo walikua wamevaa si nguo zinazoendana na maadili ya Nchi hiyo Na kubwa zaidi ni namna ambavyo wameonyesha nywele zao.

Video hiyo waliiachia tarehe Machi 8, 2023 ambapo ilikua siku ya wanawake duniani kwenye mtandao maarufu Kwa sasa wa TikTok.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live