Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Wanaume 29 waliotoka kimapenzi na Rihanna, Benzema ndani

Rihanna Benzemaa (14).jpeg Benzema na Rihanna

Tue, 23 Jan 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Anaitwa Robyn Ronald Fenty wengi wanamfahamu kwa jina lake la kisanii Rihanna alizaliwa tarehe 20 Februari 1988, huko Saint Michael, Barbados.

Ni binti wa Monica ambaye ni mhasibu, na Ronald Fenty, msimamizi wa ghala. Mama yake ni Mwafrika-Mguyana, wakati baba yake ana asili ya Kiafrika, Kiaislandi, Kiingereza, na Kiskoti.

Rihanna ana ndugu wawili, Rorrey na Rajad Fenty, na dada na kaka wa kambo wawili kutoka upande wa baba yake, kila mmoja akiwa amezaliwa na mama tofauti. Huenda ukawa unajiuliza Rihanna alipata wapi utajiri wake na ikiwa alizaliwa familia ya kawaida sana, kila kitu kinawezekana ukitenga muda, Imani na subra.

Alikulia katika nyumba ya vyumba vitatu huko Bridgetown na kuwa na baba yake walikuwa wanauza nguo kwenye kibanda barabarani. Utotoni mwake uliathiriwa sana na unywaji pombe na uraibu wa cocaine wa baba yake, ambao ulichangia kwenye ndoa iliyojaa mivutano ya wazazi wake.

Baba yake Rihanna alikuwa akimyanyasa kimwili mke wake, na Rihanna alijaribu kuingilia kati ili kusitisha ugomvi. Usikubali unyanyasike kwa pesa za kukopa au kupewa, cheza kasino mtandaoni uweke heshima yako mtaani kwako.

Akiwa mtoto, Rihanna alifanyiwa vipimo vingi vya CT kwa maumivu makali ya kichwa aliyoyapata, akikumbuka, “Hata madaktari walidhani ilikuwa uvimbe, kwa sababu maumivu yalikuwa makali sana.” Kufikia umri wa miaka 14, wazazi wake walikuwa wameachana, na afya yake ilianza kuimarika.

Alikua akiwa anasikiliza muziki wa reggae. Alisoma katika Shule ya Msingi ya Charles F. Broome Memorial na Shule ya Combermere, ambapo alisoma pamoja na wachezaji wa kimataifa wa kriketi Chris Jordan na Carlos Brathwaite.

Akiwa na umri wa miaka 11, Rihanna alikuwa kadeti wa jeshi katika mpango wa kijeshi, ambapo mwimbaji wa Barbados baadaye, Shontelle, alikuwa sargenti wake wa mazoezi. Awali alitaka kuhitimu masomo yake, ingawa aliamua kufuata kazi ya muziki badala ya kuendelea na jeshi.

Katika maisha yake ya muziki, Rihanna alifanikiwa kutoa ngoma kali kama vile Umbrella, Diamonds, We Found Love, Te amo, Don’t Stop the Music nk, licha ya utajiri mkubwa wa fedha na mali Rihanna alikuwa na utajiri wa kupendwa na wanaume wengi, mastaa, wafanyabiashara nk.

Oradha ya Wanaume Waliowahi Kuwa Wapenzi wa Rihanna.

Negus Seal Jun- Sept 2006

Jay Z Oct 2006- Apr 2007

Omarion: March-May 2007

Chris Brown: May 2007-March 2013, wamedumu miaka 4 wakiachana na kurudiana, kipolo hakihitaji moto mwingi.

Shia Lebeouf: Aug 2007

Josh Harnett: Oct 2007- Jan 2008

Drake 2009-2016 wamedumua kwa miaka 7 wakiachana na kurudiana.

Wimer Valderrama: Apr-Jun 2009

Rashard Lewis: May-Jul 2009

Justin Timberlake: Jun-Sept 2009

Soulja Boy: Agosti 2009

Josh Handerson: Oct 2009

Matt Kemp: Nov 2009- Dec 2010

Travis Barker: Feb 2011

Colin Farrell: Feb-Apr 2011

Dudley D’shaughnessy: Sept 2011

Ryan Philipe: Dec 2011- Apr 2012

Ashton Kutcher: March 2012

R Smith: May 2012- May 2013

Rob Kardashian: Aug 2012

Justin Laboy: Apr 2013

Leonardo Dicaprio: Jan-March 2015

Richard Akiva: Feb 2015

Matt Barnes: May 2015

Karim Benzema: Jamaa yetu hata hakukaa sana wakashidwana na Rihanna walidumu kwa miezi 3 tu, yaani May-Aug 2015.

Lewis Hamilton: Jul-Sept 2015

Travis Scott: Sept 2015- Jul 2016

Hassan Jameel: Oct 2016-2020, Pesa ya mafuta ilifanya penzi la mwamba kudumu kwa miaka 4, bila hivyo angekuwa kama jamaa yetu Benzema, hahaha Pesa ni heshima cheza kasino mtandaoni uongeze heshima wewe.

ASAP Rocky: Novemba 2019- Mpaka sasa, licha ya jamaa kuwa na makossa mengi yanayofanya kufungwa jela lakini bado penzi lao limedumu kwa muda mrefu sana na wamefanikwa kupta watoto wawili wa kiume RZA Athelston Mayers na Riot Rose Mayers.

Hayo ni machache kuhusu msanii huyu maarufu kabisa ulimwenguni.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live