Zahra Khanom Tadj es-Saltaneh alizaliwa mwaka 1883 na kufariki January 25, 1936, alikuwa ni mwana wa mfalme wa Persia Naser al-Din Shah aliyetawala kati ya mwaka 1843 hadi Mei 1896, mama Yake alikuwa anaitwa Turan es-Saltaneh. Persia ndio Iran ya sasa.
Zahra Khanom Tadj es-Saltaneh alizaliwa mwaka 1883 na kufariki January 25, 1936, alikuwa ni mwana wa mfalme wa Persia Naser al-Din Shah aliyetawala kati ya mwaka 1843 hadi Mei 1896, mama Yake alikuwa anaitwa Turan es-Saltaneh. Persia ndio Iran ya sasa. Zahra anatajwa kuwa ndiye aliyekuwa alama ya urembo wa Persia kutokana na kupendwa sana na wanaune kiasi cha kufikia wanaume 13 kujiuwa wenyewe kisa wamekataliwa na binti huyo kimapenzi.