Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

‘Wanangu nitawalea kawaida’-Lulu

X1q A QV 400x400 ‘Wanangu nitawalea kawaida’-Lulu

Tue, 13 Apr 2021 Chanzo: mtanzania.co.tz

Msanii wa filamu nchini, Elizabeth Michael maarufu kama ‘Lulu’ amewaambia mashabiki zake kuwa akijaliwa kupata watoto wataishi katika maisha ya kawaida na si ya umaarufu.

Lulu amesema hayo leo jijini Dar es salaam kufuatiwa stori zinazoendelea katika mitandao ya kijamii juu ya Paula kajara Mtoto wa msanii maarufu nchini Kajara Masanja.

Pia amesema atawapatia uhuru Watoto wake katika suala la mitandao ya kijamii kwa kuzingatia mipaka na kuangalia umri wa mtoto wake juu ya matumizi ya kimtandao kwa sababu ya kuzikinga athari zinazotokana na mitandao ya hiyo.

“watu watalajie kuwaona Watoto wangu katika maisa ya kawaida kuanzia shuleni, hospialini, barabarani na sehemu zote za kijamii.

“wazazi tunatakiwa kuwataadhari watoto wetu dhidi ya mitandao ya kijamii maana ni chanzo kikuu cha kuleta taswila mbaya kwa Watoto wetu.

Chanzo: mtanzania.co.tz