Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Wananchi wajitokeza Ibada ya kuaga mwili wa Gardner

Wananchi Wajitokeza Ibada Ya Kuaga Mwili Wa Gardner Wananchi wajitokeza Ibada ya kuaga mwili wa Gardner

Mon, 22 Apr 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wananchi mbalimbali wamejitokeza katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Usharika wa Mbezi Beach kwenye ibada ya kuuombea mwili wa Gardner Habash aliyekuwa mtangazaji wa Clouds Media kipindi cha Jahazi.

Gardner amefariki dunia Aprili 20, 2024 katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI), Dar es Salaam alipokuwa anapatiwa matibabu.

Baada ya ibada hiyo mwili utapelekwa viwanja vya Leaders Club kwa ajili ya kuagwa na kupelekwa uwanja wa ndege kwa safari ya kuelekea kijijini kwao Wilaya ya Rombo mkoani Kilimanjaro kwa ajili ya mazishi yatakayofanyika kesho Jumanne Aprili 23, 2024.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live