Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Walter Chilambo azindua album yake ya Gospel ‘Asante’, Mbasha na Ambwene Mwasongwe watikisa jukwaa (+video)

Video Archive
Mon, 4 Jun 2018 Chanzo: bongo5.com

Msanii wa nyimbo za Injili, Walter Chilambo leo Juni 03, 2018 amezindua album yake ya kwanza ya Gospel ‘ASANTE’.



Chilambo amesema Album hiyo ina idadi ya nyimbo 7 na itapatikana kila sehemu nchini Tanzania lakini kwa kuanza mashabiki wake wanaweza kuipata kwa kuwasiliana naye kwa nmamba ambazo amezitaja kwenye video hapa chini.

Kwa upande mwingine jukwaa la ufunguzi wa album hiyo lilisindikizwa na waimbaji wenzake wa Injili Emmanuel Mbasha na Ambwene Mwasongwe ambao walifanya show ya kufa mtu.

Loading...
Chanzo: bongo5.com