Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Walter Chilambo: Ni muhimu kulipia kiingilio matamasha ya Injili

Walter Chilambo: Ni Muhimu Kulipia Kiingilio Matamasha Ya Injili Walter Chilambo: Ni muhimu kulipia kiingilio matamasha ya Injili

Tue, 19 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kumekuwa na baadhi ya mijadala kwenye mitandao ya kijamii ikionesha baadhi ya watu kutofurahia malipo ya kiingilio yanayotolewa kwenye matamasha ya muziki wa injili. Kutokana na hilo mwimbaji wa muziki huo @walterchilambotz amesema hakuna ubaya wowote kwani inakuwa kama sadaka.

“Matamasha ya injili kuwa na kiingilio ni vizuri ni kama sadaka kanisani, tusipokuwa tunathamini vitu vya Mungu, alafu watu wanalipa viingilio baa na klabu inakuwa siyo vizuri na sisi inabidi tuwekeze.” Amesema Walter

Makali huu wa nyimbo za injili ambaye anafanya vizuri na vibao vyake kama vile Only you, Shwari, Sijawahi ona na vingine amesema kumtolea Mungu kwa njia ya sadaka ni kitu cha kawaida sana .

Chanzo: www.tanzaniaweb.live