Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Walikuwa wanaona namroga Diamond-Lukamba

Lukamba Na Diamond Walikuwa wanaona namroga Diamond-Lukamba

Mon, 14 Nov 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Aliyekuwa mpiga picha wa supastaa Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz', Lukamba amesimulia jinsi alivyopambana na maadui ambao walikuwa hawapendi kuona mafanikio yake.

Akizungumza na Wasafi FM, Lukamba alisema, ilifika wakati aliona bora yaishe ili kuepuka husda za binadamu ambao walikuwa wanaona ananufaika sana.

"Ilikifika kipindi nikaona tutakuja kuuana. To be honest ilifika hatua nikaona riziki ni too much. Sababu mimi hata nilivyokuwa nasafiri, sa nyingine kina Simba wanatoka wanaenda klabu wananiacha mimi hoteli naedit, walifika wakati wakaona mimi namroga Diamond," alisema Lukamba.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live