Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Walichoandika Diamond, Professor Jay na mastaa wengine kuhusu ndoa ya AY

Mon, 12 Feb 2018 Chanzo: bongo5.com

Jana ilikuwa siku nzuri sana kwa msanii wa muziki hapa Tanzania, AY kwani aliweka historia katika maisha yake kwa kufunga ndoa na mpenzi wake wa zamani Remmy kutoka nchini Rwanda.



Kufuatia tukio hilo  Wasanii na watu mashuhuri nchini Tanzania wamempongeza AY kwa kukamilisha tukio hilo tukufu.

PROFESSOR JAY:

  • professorjaytzHongera sana Mdogo wangu @aytanzania na mkeo @remyrwanda kwa hatua hii muhimu ya Kufunga Pingu za Maisha, Mungu awasimamie na awabariki zaidi na zaidi muwe na maisha Mema yenye furaha na baraka tele
Chanzo: bongo5.com